Ulikuwa ni usiku wa furaha wakati Dada Yuster akitimiza moja ya ndoto zake maishani, Sherehe hii ilifanyika katika ukumbi wa Airwing. KEN & REY VIDEO PRODUCTION (0713479305) inapenda kumtakia maisha ya ndoa yenye baraka tele.












0 comments: